Disemba 22, 2025 08:50
Bodi ya Korosho Tanzania
Habari ZinazojiriKiteleziMatukio

KIKAO CHA KAMATI YA UENDELEZAJI ZAO YA BODI YA KOROSHO TANZANIA

KIKAO CHA SABA (7) CHA KAMATI YA UENDELEZAJI ZAO YA BODI YA KOROSHO TANZANIA TAREHE 02 JANUARI, 2023 UKUMBI WA MIKUTANO WA BODI YA KOROSHO MTWARA

Ajenda kuu ni:-

  • Kupitia utekelezaji wa yatokanayo na kikao cha Bodi yahusuyo kamati ya uendelezaji zao cha tarehe 19 Oktoba, 2022.
  • Taarifa ya utekelezaji wa robo ya pili kuanzia Oktoba – Disemba 2022 na mpango kazi wa robo ya tatu januari – Machi 2023.
  • Taarifa ya miradi ya ujenzi wa ghala za Tunduru, Mkinga na Mkuranga.
  • Mapendekezo ya uanzishaji wa kiwanda kidogo cha kubangua korosho.

Kikao hicho kimeongozwa na mwenyekiti wa Kamati ya uendelezaji zao ambae pia ni mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Bodi ya Korosho Tanzania, Mhe.Mussa Manjaule.

Related posts

WATUMISHI CBT WATAKIWA KUSHIRIKI KIKAMILIFU UCHAGUZI MKUU

Amani Ngoleligwe

MWONGOZO NA.3 WA UNUNUZI WA KOROSHO KWENYE SOKO LA AWALI KWA AJILI YA WABANGUAJI WA NDANI MSIMU WA 2025/2026

Amani Ngoleligwe

WAKULIMA TANECU WAUZA KOROSHO ZAO KATIKA MNADA WA SITA

Amani Ngoleligwe