SERIKALI YALETA NEEMA KWA WAKULIMA WA KOROSHO
Waziri wa Kilimo, Mhe. Daniel Chongolo (Mb) amefanya ziara ya kikazi mkoani Mtwara tarehe 11 Desemba 2025 na kutoa salamu za Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa “Serikali itaendelea kuwapunguzia mzigo wakulima wa Korosho kwa kuwa na uhakika wa pembejeo za kilimo.”
Waziri Chongolo ameongeza kuwa Serikali itahakikisha Korosho…
KOROSHO MARATHON KUENDELEA KUTANGAZA FURSA ZA UWEKEZAJI KATIKA TASNIA YA KOROSHO
KOROSHO MARATHON KUENDELEA KUTANGAZA FURSA ZA UWEKEZAJI KATIKA TASNIA YA KOROSHO
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana, Mhe. Joel Nanauka, amesema kuwa mbio za Korosho Marathon zimekuwa jukwaa...
TPAWU TAWI LA BODI YA KOROSHO TANZANIA WACHAGUA VIONGOZI WAPYA
TPAWU TAWI LA BODI YA KOROSHO TANZANIA WACHAGUA VIONGOZI WAPYA
Wanachama wa chama cha wafanyakazi wa sekta ya Kilimo na Mashamba TANZANIA PLANTATION AND AGRICULTURAL WORKERS UNION (TPAWU) wamefanya uchaguzi...
CHONGOLO AZITAKA COPRA, TMX NA BODI YA KOROSHO KUANGALIA MAENEO MENGINE YA KIMKAKATI ILI KUPANUA WIGO WA MATOKEO
CHONGOLO AZITAKA COPRA, TMX NA BODI YA KOROSHO KUANGALIA MAENEO MENGINE YA...
Waziri wa Kilimo, Mhe. Daniel Chongolo ameitaka Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA) kuangalia maeneo mengine ya...
MAMCU WAUZA KILO 35,445,155 KWA BEI YA JUU SH. 2,510
MAMCU WAUZA KILO 35,445,155 KWA BEI YA JUU SH. 2,510
Wakulima wa korosho kupitia Chama Kikuu cha Ushirika cha MAMCU wamefanikiwa kuuza jumla ya kilo 35,445,155 za korosho katika mnada...
WAKULIMA RUNALI WAUZA KOROSHO KILO 20,630,516 KWA BEI YA JUU TSH 2,610
WAKULIMA RUNALI WAUZA KOROSHO KILO 20,630,516 KWA BEI YA JUU TSH 2,610
Wakulima wa korosho kupitia Chama Kikuu cha Ushirika cha RUNALI, kinachounganisha wilaya za Ruangwa, Nachingwea na Liwale mkoani Lindi, wameuza...
LINDI MWAMBAO WAUZA TANI 5,106 KWA BEI YA JUU SH. 2,460 KUPITIA MFUMO WA TMX
LINDI MWAMBAO WAUZA TANI 5,106 KWA BEI YA JUU SH. 2,460 KUPITIA...
Jumla ya tani 5,106 za korosho ghafi zimeuzwa kupitia mfumo wa Soko la Bidhaa Tanzania (TMX) katika mnada wa kwanza...
WATUMISHI CBT WATAKIWA KUSHIRIKI KIKAMILIFU UCHAGUZI MKUU
WATUMISHI CBT WATAKIWA KUSHIRIKI KIKAMILIFU UCHAGUZI MKUU
Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Korosho Tanzania (CBT) ndg. Francis Alfred, leo oktoba 28/2025 amekutana na watumishi wote wa bodi...

