UBALOZI WA TANZANIA-UAE, CBT WAPANGA MIKAKATI KULITUMIA SOKO LA KOROSHO NCHI ZA GHUBA KUPITIA UAE
Ubalozi wa Tanzania katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kwa kushirikiana na Bodi ya Korosho Tanzania wamepanga mikakati ya kulitumia ipasavyo soko la Korosho...