Waziri wa Viwanda na Biashara nchini Mhe. Dkt. Suleiman Jafo amehitimisha rasmi maonesho ya sikukuu ya wakulima (NANENANE) kanda ya kusini – Ngongo mkoani Lindi....
Vijana na wanawake wa mikoa inayozalisha zao la korosho nchini, wametakiwa kujihusisha katika shughuli za uongezaji thamani wa zao hilo ili kutanua wigo wa matumizi...
Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Korosho Tanzania ndg. Francis Alfred amesema kuwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeendelea kufanya jitihada mbalimbali zinazolenga kustawisha...
Wadau mbalimbali katika mnyororo wa thamani wa zao la korosho wakiwemo Katibu Tawala Wasaidizi Uchumi na Uzalishaji, Warajisi wa Mikoa, Wenyeviti na Meneja wa Vyama...
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Korosho Tanzania Brig. Gen. mstaafu Aloyce D. Mwanjile (ndc) ameitaka Bodi ya Korosho Tanzania (CBT) kuendelea kuwaunga...