Matukio
TPAWU TAWI LA BODI YA KOROSHO TANZANIA WACHAGUA VIONGOZI WAPYA
21
Wanachama wa chama cha wafanyakazi wa sekta ya Kilimo na Mashamba TANZANIA PLANTATION AND AGRICULTURAL WORKERS UNION (TPAWU) wamefanya uchaguzi Mkuu wa Viongozi wa Tawi la Bodi ya Korosho Tanzania katika ngazi ya Mwenyekiti, Katibu, Wajumbe wa Kamati ya Utendaji, Kamati ya wanawake na Kamati ya vijana.
Kwa upande wa…
CHONGOLO AZITAKA COPRA, TMX NA BODI YA KOROSHO KUANGALIA MAENEO MENGINE YA KIMKAKATI ILI KUPANUA WIGO WA MATOKEO
CHONGOLO AZITAKA COPRA, TMX NA BODI YA KOROSHO KUANGALIA MAENEO MENGINE YA...
42
Waziri wa Kilimo, Mhe. Daniel Chongolo ameitaka Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA) kuangalia maeneo mengine ya...
MAMCU WAUZA KILO 35,445,155 KWA BEI YA JUU SH. 2,510
MAMCU WAUZA KILO 35,445,155 KWA BEI YA JUU SH. 2,510
288
Wakulima wa korosho kupitia Chama Kikuu cha Ushirika cha MAMCU wamefanikiwa kuuza jumla ya kilo 35,445,155 za korosho katika mnada...
WAKULIMA RUNALI WAUZA KOROSHO KILO 20,630,516 KWA BEI YA JUU TSH 2,610
WAKULIMA RUNALI WAUZA KOROSHO KILO 20,630,516 KWA BEI YA JUU TSH 2,610
563
Wakulima wa korosho kupitia Chama Kikuu cha Ushirika cha RUNALI, kinachounganisha wilaya za Ruangwa, Nachingwea na Liwale mkoani Lindi, wameuza...
LINDI MWAMBAO WAUZA TANI 5,106 KWA BEI YA JUU SH. 2,460 KUPITIA MFUMO WA TMX
LINDI MWAMBAO WAUZA TANI 5,106 KWA BEI YA JUU SH. 2,460 KUPITIA...
533
Jumla ya tani 5,106 za korosho ghafi zimeuzwa kupitia mfumo wa Soko la Bidhaa Tanzania (TMX) katika mnada wa kwanza...
WATUMISHI CBT WATAKIWA KUSHIRIKI KIKAMILIFU UCHAGUZI MKUU
WATUMISHI CBT WATAKIWA KUSHIRIKI KIKAMILIFU UCHAGUZI MKUU
233
Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Korosho Tanzania (CBT) ndg. Francis Alfred, leo oktoba 28/2025 amekutana na watumishi wote wa bodi...

