Uuzaji wa zao la korosho kupitia mfumo wa Soko la Bidhaa Tanzania (TMX), mfumo ambao husimamia mnada kijiditali kwa lengo la kuwaongezea uhakika wa masoko,...
Baadhi ya wakulima wa zao la Korosho wilayani Newala mkoani Mtwara wameishukuru serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa...
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo (Ushirika na Umwagiliaji) Dkt. Suleiman Serera, amezindua Mradi wa Growing Together unaofadhiliwa na Serikali ya Kifalme ya Norway kupitia...
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Bw. Gerald Mweli amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe kutoka Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD) na wataalamu...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Bw. Gerald Mweli amekutana kwa mazungumzo na Balozi wa Italia hapa nchini, Mhe. Giuseppe Sean Coppola jijini Dodoma tarehe...
Wakati minada ya korosho katika msimu wa 2024/2025 ikiendelea, Mkurugezi Mkuu wa Bodi ya Korosho Tanzania Ndg. Francis Alfred alipokuwa akizungumza na wandishi wa habari...
Chama cha Ushirika CIAP kutoka nchini Burundi kimefanya ziara ya mafunzo katika ofisi za Bodi ya Korosho Tanzania Makao Makuu zilizopo Mtwara Mjini tarehe 04/11/2024....
Dk. Hussein M. Omar, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo ameshiriki katika kikao kazi kati ya Tanzania na Ujumbe wa wafanyabiashara kutoka Bavaria, nchini Ujerumani....
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki katika mijadala muhimu ya kimataifa kuhusu kilimo barani Afrika ambayo ni Africa...
Imeelezwa kuwa jumla ya Tani 180,342 za korosho zimeuzwa katika msimu wa 2024/2025 ndani ya wiki tatu za minada ikilinganishwa na Tani 60,066 ambazo zilikuw...