Skip to main content

Matangazo ya Umma

Matangazo rasmi na taarifa kwa wananchi na wadau.

PDF

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAANDISHI – USIMAMIZI WA USAFIRISHAJI WA KOROSHO

Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Korosho Tanzania anawataarifu waombaji wa nafasi ya Usimamizi wa Usafirishaji wa Korosho ambao majina yao yameorodheshwa katika tangazo kuwa wamechaguliwa kushiriki usaili wa maandishi. Usaili huo utafanyika Jumapili, tarehe 4 Oktoba 2026, saa 2:00 asubuhi.

1.70 MiB 3090
PDF

TANGAZO LA MAFUNZO YA UDHIBITI NA UHAKIKI UBORA WA KOROSHO GHAFI MSIMU WA MAUZO 2026/2027

Bodi ya Korosho Tanzania (CBT) inawataarifu wadau wa Tasnia ya Korosho nchini kuwa itaendesha Mafunzo ya Udhibiti na Uhakiki wa Ubora wa Korosho Ghafi kuanzia tarehe 07–12 Septemba 2026 katika Chuo cha Mafunzo ya Kilimo Mtwara (MATI). Mafunzo haya yanatolewa kwa mujibu wa Sheria ya Korosho Sura ya 203 Toleo la Mwaka 2023.

442.35 KiB 208
PDF

Mkutano wa 13 wa Dunia wa Korosho Kufanyika Dar es Salaam 2027

Mkutano wa 13 wa Dunia wa Korosho utafanyika tarehe 21–23 Januari 2027 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam, Tanzania, ukiwakutanisha wadau muhimu kutoka sekta ya korosho duniani.

44.10 MiB 247
PDF

MAREKEBISHO YA TAREHE YA KUANZA KWA UUZWAJI WA KOROSHO GHAFI KWA MSIMU WA 2026/2027

Bodi ya Korosho Tanzania inawajulisha wanunuzi wote wenye leseni za korosho ghafi pamoja na wadau wengine kuwa tarehe ya kuanza kwa minada ya korosho ghafi kwa msimu wa 2026/2027, ambayo ilitangazwa awali kuwa ni tarehe 19 Oktoba 2026, imefanyiwa marekebisho. Hivyo, minada ya korosho ghafi kwa msimu wa 2026/2027 itaanza rasmi tarehe 12 Oktoba 2026.

147.14 KiB 176
PDF

MINADA YA KOROSHO GHAFI KUANZA TAREHE 12 OKTOBA 2026

Bodi ya Korosho Tanzania inawajulisha wanunuzi wenye leseni na wadau wa tasnia ya korosho kuwa minada ya korosho ghafi kwa msimu wa 2026/2027 itaanza rasmi tarehe 12 Oktoba 2026.

45.38 KiB 196
PDF

Public Notice kuhusu huduma

Tangazo la umma kuhusu maboresho ya huduma.

16.94 KiB 15 Feb 2025 215