Kuhusu Bodi ya Korosho Tanzania
Bodi ya korosho Tanzania ni Taasisi ya Umma iliyo chini ya Wizara ya Kilimo iliyoundwa chini ya sheria ya Tasnia ya korosho Sura ya 203 Toleo la Mwaka 2023, inayoipa jukumu la usimamizi wa Tasnia ya korosho kwenye mnyororo mzima wa thamani kuanzia kwa mkulima hadi kwa mlaji wa mwisho.
Dira Yetu
Dhima Yetu
Maadili ya Msingi