Habari na Matukio
Pata habari za hivi karibuni kutoka Bodi ya Korosho.
MAAFISA KILIMO WATAKIWA KUENDELEA KUTOA ELIMU KUHUSU UZALISHAJI WA KOROSHO
Mkuu wa mkoa wa Lindi Bi. Zainab Telack ametoa wito kwa maafisa kilimo kuendelea kutoa...
KANALI SAWALA: MAFUNZO YA UMAHIRI KWENYE MNYORORO WA THAMANI WA ZAO LA KOROSHO KULETA TIJA KWA WASHIRIKI
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Patrick Sawala amesema kuwa ni matumaini yake kuwa mafunzo...
DKT. KIRUSWA ATEMBELEA BANDA LA MAONESHO CBT NA KUPONGEZA JUHUDI ZA RAIS DKT. SAMIA
Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
AFISA KILIMO CBT AKITOA ELIMU KATIKA CHOMBO CHA HABARI LINDI
Afisa Kilimo kutoka Bodi ya Korosho Tanzania ndg. Mohamed Kaid akiwa katika moja ya kituo...
MADIWANI WA HALMASHAURI YA MJI NANYAMBA WATEMBELEA MRADI WA KONGANI LA VIWANDA MARANJE
Madiwani wa Halmashauri ya mji Nanyamba wameeleza kuridhishwa na kasi ya ujenzi wa mradi wa...
WAKULIMA MNOLELA: TANGU TUANZE KUPOKEA PEMBEJEO ZA RUZUKU MAMBO YANAKWENDA VIZURI SANA
Wakati zoezi la ugawaji pembejeo za ruzuku katika zao la korosho likiendelea katika mikoa mbalimbali...