
MIKAKATI YA UONGEZAJI THAMANI NA UZALISHAJI WA ZAO LA KOROSHO TANZANIA
08:16:58am 03-02-2022
Kikao cha wadau wa zao la korosho kilichohusisha wataalamu
wa kilimo (RAAs,DAICOs),warajisi na Taasisi mbalimbali na Mameneja wa Vya vikuu vya ushirika kutoka Mikoa Mitano(Lindi,Mtwara,Ruvuma,Tanga na Pwani) vinara kwenye uzalishaji
korosho,lengo ni kujadili namna ya kuongeza thamani na uzalishaji kutoka tani
laki tatu kwa sasa mpaka kufikia tani laki saba ifikapo mwaka 2025.